14 kushiriki Judo Afrika Mashariki nchini Burundi Wachezaji 14 wa timu ya Taifa ya Judo ya Tanzania Bara wameanza kugombania nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika Mashariki inayotarajiwa kufanyika Februari 22 mpaka 29 mwakani nchini Burundi. Read more about 14 kushiriki Judo Afrika Mashariki nchini Burundi