Nawajua wahujumu michezo nchini - Nape Nnauye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye amesema, hatokuwa na msamaha na yeyote anayehusika katika kudhulumu haki za wanamichezo nchini kwani wao ndio chanzo cha kushusha michezo hapa nchini.