Makomandoo: ushindani sasa ni kimataifa
Kutoka kundi mahiri la Makomandoo, msanii wa muziki Muki ameeleza kuwa kutokana na kubadilika na kukua kwa kasi kwa soko la muziki, ushindani na mkakati wao wa kufanya kazi umebadilika kwa kiasi kikubwa tokea waanze kutambulika katika gemu.