Maandalizi Mapinduzi,Yanga kuelekea Zanzibar kesho
Kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga kinatarajia kuondoka hapo kesho kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari Tatu mwakani.
