Mwili wa marehemu Mawazo kuzikwa kesho Mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita Alphonce Mawazo umeagwa leo Geita Mjini na unataraji kuzikwa kesho Katika kijiji cha Chikobe mkoani Geita. Read more about Mwili wa marehemu Mawazo kuzikwa kesho