Rais Magufuli awahakikishia watanzania elimu bure

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia watanzania kuwa ahadi yake ya kutoa elimu bure kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne ni lazima itekelezwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS