Polisi kudhibiti uhalifu mkesha wa mwaka mpya
Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limesema kuwa limejipanga vizuri kudhibiti vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza hususani katika kipindi hiki cha kuelekea mkesha wa mwaka mpya.

