Gofu Tanzania kushiriki AAGC Machi 13 Tunisia Timu ya Taifa ya Gofu chini ya Miaka 18 inatarajia kushiriki michuano ya kitaifa ya All Africa Gofu Champion inayotarajiwa kufanyika Machi 13 mpaka 20 mwakani nchini Tunisia. Read more about Gofu Tanzania kushiriki AAGC Machi 13 Tunisia