Kaijage aitosa Twiga Stars Picha ya kocha mkuu wa Twiga Stars Rogasian kaijage kabla ya kujiuzulu wadhfa wake Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limesema Kaijage aliwasilisha barua ya kujiuzulu akitaja majukumu mengine. Read more about Kaijage aitosa Twiga Stars