Kulinganishwa na wasanii wakubwa ni vizuri- Aika
Baada ya kuachia tune kali kabisa ya Kamatia, Aika kutoka Navy Kenzo amesema kutoka kama surprise kwa ngoma hiyo kumeitengenezea nafasi nzuri zaidi, ikiwa kibindoni toka mwezi wa 10 mwaka jana, wakiiachia wakati ambao ngoma Game ikiwa bado ya moto.

