Majaliwa asisitiza wazee watibiwe bure nchi nzima
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa amesema amefurahishwa na namna ambavyo hospitali ya mkoa wa Ruvuma inatekeleza kwa vitendo kutibu wazee wagonjwa bure kama ilivyo ahadi ya serikali kwao.