Polisi wawaachia waandishi waliowakamata -Burundi Jeshi la Polisi nchini Burundi limewaachia waandishi wa habari wawili wa kigeni ambao liliwashikilia siku ya Alhamisi katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Read more about Polisi wawaachia waandishi waliowakamata -Burundi