Rooney aingoza Man United kuchinja jogoo Liverpool Wayne Rooney alifunga kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa Anfield tangu mwaka 2005,na kuisaidia Manchester United kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Liverpool jioni ya leo. Read more about Rooney aingoza Man United kuchinja jogoo Liverpool