Ndauka asisitiza elimu kwa wasanii Staa wa filamu Rose Ndauka amewataka wasanii wenzake pamoja na mashabiki katika nafasi zao kuzingatia elimu ambayo ina umuhumu mkubwa katika suala zima la maendeleo. Read more about Ndauka asisitiza elimu kwa wasanii