Yanga yarejea kileleni ligi kuu,yaiua Ndanda 1-0 Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda ya Mtwara katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara iliyopigwa Uwanja wa Taifa. Read more about Yanga yarejea kileleni ligi kuu,yaiua Ndanda 1-0