DANGOTE yaomba radhi kuajiri wageni bila vibali
Mwakilishi mkazi wa kampuni ya Dangote nchini ,Esther Baruti, ameomba radhi kufuatia taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo vya habari wiki moja iliyopita juu ya kubainika kwa raia wa kigeni kiwandani hapo wanaofanya kazi bila kuwa na vibali.
