TFF yaonya upangaji wa matokeo

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limewaonya viongozi wa vilabu, wachezaji, waamuzi na wasimamizi wa mchezo kutojihusisha na upangaji wa matokeo (Match Fixing) katika michezo inayoendelea sasa katika ligi za ngazi mbalimbali za nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS