Wakandarasi kulipwa kabla ya bajeti ijayo-Mbarawa
Serikali imesema italipa fedha zote zinazodaiwa na wakandarasi nchini kabla ya kuanza kwa mwaka mpya ya fedha wa serikali hatua ambayo imeelezwa kuongeza kasi katika ujenzi wa miradi mingi ya barabara na madaraja ambayo ujenzi wake ulisimama.
