Ngoma aipaisha Yanga ugenini.
Wawakilishi wa Tanzania katika ngalambe ya michuano ya vilabu barani Afrika timu ya Yanga ikiwa ugenini hii leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa kwanza katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
