Si muhimu mazungumzo Zanzibar- Balozi Seif Idd
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema kwa vile Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imeshatangaza tarehe ya kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar yeye binafsi haoni umuhimu wa kurejewa kwa mazungumzo

