Yanga yaingia Pemba kuweka kambi ya dozi za Simba Timu ya Yanga imewasili salama visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mahasimu zao Simba kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara Jumamosi ijayo. Read more about Yanga yaingia Pemba kuweka kambi ya dozi za Simba