UNHCR waingiwa wasiwasi Rwanda kuhamisha wakimbizi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Rwanda limeelezea wasiwasi wake baada ya serikali ya nchi hiyo kutangaza uamuzi wa kuhamishia wakimbizi wote wa Burundi kwenye nchi zingine.

