Venus Williams ashinda taji la wazi la Taiwan Venus Williams ametwaa taji la wazi la Taiwan baada ya kumfunga kwa seti mbili Misaki Doi kwa 6-4 6-2, siku ya Jumapili na kuwa taji lake la 49 tangu aanze kucheza mchezo huo wa tenisi. Read more about Venus Williams ashinda taji la wazi la Taiwan