Mazembe yatwaa Super Cup Africa Mlinda mlango wa klabu ya TP Mazembe Robert Kidiaba akishangilia baada ya ushindi walioupata dhidi ya Etoile du sahel ya Tunisia wikiend iliyopita. Klabu ya TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeshinda kombe la Super Cup kwa mara ya tatu kwa kuinyuka Etoile du Sahel ya Tunisia. Read more about Mazembe yatwaa Super Cup Africa