Chile uso kwa uso na Argentina Coppa America 2016
Mabingwa watetezi wa michuano ya Coppa America Chile wamepangwa kundi moja na wapinzani wao katika fainali ya mwaka jana timu ya taifa ya Argentina ambapo wenyeji walifanikiwa kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati.
