Naibu waziri wa afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Dkt Khamis Kigwangala
Kiwango cha umri wa kuishi kwa Watanzania kimeongezeka kutoka miaka 51 hadi miaka 61 katika kipindi cha miaka kumi iliyopita sababu kuu ikiwa ni maboresho yaliyofanyika katika sekta ya afya nchini.