Sifanyi kazi na Director wa bongo - Q Chief Msanii Q Chief amesema haoni sababu ya msingi ya kufanya kazi na watayarishaji wa video wa ndani, kwani wanajisifia na kujitapa bila kuwa na lolote. Read more about Sifanyi kazi na Director wa bongo - Q Chief