Nitakufa nikimaliza miaka niliyoandikiwa - Lulu

Msanii machachari anayefanya poa kwenye runinga za bongo kupitia filamu Elizabeth Michael au Lulu, amemuwakia mtu aliyepost kuwa amefariki na kuwataka watu wakaone picha za msiba wake, na kusema hafi mpaka siku za kwenye biblia ziishe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS