Sipendi masuala ya team kwenye muziki - Godzila Msanii Godzila amewawakia watu wanaoshabikia masuala ya team za wasanii, na kusema kuwa unawagawa wasanii na kuua muziki. Read more about Sipendi masuala ya team kwenye muziki - Godzila