Real Madrid yakwama kuifukuza Barcelona La Liga.
Klabu ya soka ya Real Madrid kwa mara nyingine tena imetoshana nguvu na Malaga kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo uliopigwa jana na kupelekea kuwa pointi tisa nyuma ya mahasimu wao Barcelona ambao walishinda dhidi La Palmas bao ya 2-1.

