Tume yataka Jaji ashtakiwe kwa Uongo Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Profesa Githu Muigai Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeombwa na Tume ya kuajiri Watumishi wa Mahakama nchini humo(JSC), imshtaki Naibu wa jaji Mkuu(DCJ), Kalpana Rawal kwa kueneza Umbea. Read more about Tume yataka Jaji ashtakiwe kwa Uongo