Kinondoni yakataa mamilioni ya Magufuli

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob.

Halmshauri ya Manispaa ya Kinondoni imekataa mpango wa mchango wa sh. Milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kutoka kwa mawaziri, naibu mawaziri,makatibu wakuu na makamu wa Rais.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS