TFF yazindua programu ya soka la wanawake vijana Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limezindua programu ya maendeleo ya soka kwa wanawake vijana ili kuhamasisha usawa wa kijinsia, uwezeshaji kijamii na kiuchumi kwa wanawake nchini. Read more about TFF yazindua programu ya soka la wanawake vijana