Prince Ali ataka uchaguzi wa FIFA uahirishwe Mgombea wa urais wa Fifa mwana mfalme Ali bin al-Husein Mawakili wanaomuwakilisha mgombea wa urais wa Fifa mwana mfalme Ali bin al-Husein wamesema wamewasilisha ombi lao rasmi la kutaka uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Ijumaa kuhairishwa. Read more about Prince Ali ataka uchaguzi wa FIFA uahirishwe