Malinzi ageuka mbogo sakata la upangaji matokeo.

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF, Jamali Malinzi hii leo amegeuka mbogo kufuatia kuulizwa swali ambalo limemlenga yeye kuwa amehusika katika upangaji wa matokeo wa mechi za mwisho za kundi C ligi daraja la kwanza msimu uliomalizika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS