Majaliwa akutana na mabalozi, waahidi ushirikiano WAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu kutoka nchi za Uturuki, Ireland na Uswisi pamoja na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa hapa nchini. Read more about Majaliwa akutana na mabalozi, waahidi ushirikiano