Watanzania waaswa juu ya vipodozi vyenye kemikali

Baadhi ya vipodozi vilivyopigwa marufuku na Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA).

Watanzania wametakiwa kutokutumia vipodozi vyenye kemikali kali ambavyo husababisha madhara madhara mbalimbali ikiwemo magonjwa ya kansa na pamoja na ngozi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS