Dereva bodaboda auawa kikatili Dodoma Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alfred Msanjila (46) mkazi wa mtaa wa Mbwanga katika Manispaa ya Dodoma ameuawa kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali mwilini na kisha kuporwa pikipiki yake. Read more about Dereva bodaboda auawa kikatili Dodoma