Halmashauri zaagizwa kulipa madeni watumishi
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI),Mhe. George Simbachawene ameziagiza halmashauri zote nchini kuanza mara moja kulipa malimbikizo ya madeni ya watumishi hususani walimu.
