CHADEMA yataka Dar ipimwe upya kuepuka bomoabomoa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeiomba serikali kupitia Wizara ya Ardhi kupima upya ramani ya jiji la Dar es salaam ili wananchi waweze kuelewa maeneo gani yanafaa kwa makazi na yapi yasiyofaa, ili kuepuka bomoa bomoa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS