Sitishiki na uwepo wa Jonas Mkude-Mzamilu Yasin
Kiungo mpya wa Simba, Mzamilu Yasin aliyetokea Mtibwa Sugar ametamba kuwa suala la kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo halina tatizo na wala hatishwi na uwepo wa Jonas Mkude katika nafasi hiyo.

