Ahadi yangu ipo pale pale- Rose Ndauka
Msanii wa Filamu Bongo Rose Ndauka amefunguka dhidi ya wanaodai ameshindwa kufanya mziki baada ya muda mrefu kupita tangu atangaza kuwa ameanzisha Lebo ya muziki na anawasanii anawasimamia lakini hadi leo kimya.