Rory Mcllroy ajitoa Olimpiki kwa hofu ya Zika
Olimpiki yazidi kukosa wachezaji muhimu kwa tishio la ugonjwa wa Zika, unaosababisha watoto kuzaliwa na vichwa vidogo, baada ya hii leo mcheza golf namba nne duniani, naye kutangaza kujitoa kwenye mashindano ya Rio, mwezi Agosti mwaka huu.

