Abdallah Bin Kleb aombwa kugombea Yanga, achomoa
Kiongozi wa zamani wa klabu ya Yanga, Abdallah Ahmed Bin Kleb amesema kuwa wanachama wengi wa klabu hiyo wamemfuata kumuomba agombee katika uchaguzi wa Juni, lakini anasikitika hataweza kutekeleza ombi lao.