Ilkay Gundogan amwaga wino Manchester City Kiungo Ilkay Gundogan amesajiliwa na klabu ya Manchester City na kuwa usajili wa kwanza wa kocha Pep Guardiola kutoka klabu ya Borrusia Dortmund. Read more about Ilkay Gundogan amwaga wino Manchester City