Bunge kupokea maoni ya udhibiti dawa michezo

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwa mujibu ya Kanuni ya ya 117(9), kusikiliza maoni yawadau (Public Hearing) kuhusu Mkataba wa Kimataifa wa Udhibiti wa Matumizi ya Dawa na Mbinu za kuongeza Nguvu katika Michezo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS