Uswazi
Usiikose hii, baada ya bibi kuchokwa kwa tabia yake, madereva bodaboda wanataka atumbuliwe, huku bibi nae akijitetea kwa namna yake, ni balaa tupu, panya road nao walichokifanya kwa mama mjamzito sio sahihi, Diwani kayajibu yote hayo ndani ya Uswazi.