Rais Magufuli aahidi bil 10 ujenzi wa mabweni UDSM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameahidi kutafuta shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kujenga mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Read more about Rais Magufuli aahidi bil 10 ujenzi wa mabweni UDSM