Serikali iunde tume ya mikataba uwekezaji wa gesi
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Maendeleo ya Petroli(TPDC), Dkt. James Mataragio, amemuomba waziri wa nishati na Madini, kuunda tume itakayoshughulikia mikataba ya uwekezaji wa gesi asilia iliyogundulika hapa nchini.