Zaidi ya laki moja kupata kingatiba Monduli

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Francis Miti akihutubia wanakijiji wa kijiji cha Meserani juu(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa umezaji kingatiba ya ugonjwa wa vikope(trakoma)

Wilaya ya Monduli inatarajia kutoa kingatiba ya ugonjwa wa trakoma(vikope) wa watu wapatao 140,962 kwa ngazi ya jamii kaya kwa kaya hadi ifikapo mwezi julai mwaka Huu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS